About us

Showing posts with label Entertainment. Show all posts
Showing posts with label Entertainment. Show all posts

Tuesday, January 12, 2016

http://cdn3.thr.com/sites/default/files/imagecache/675x380/2011/09/
It's official -- the legendary Playboy Mansion has hit the market for a wild price.
TMZ broke the story Saturday ... the Mansion was going on the market this month, and Monday morning, it all came true.
As we reported, Playboy Enterprises, which owns Hefner's palace, wanted $200 million for the 6-acres of prime real estate. Our real estate sources say top dollar realistically is $90 mil.
But The Agency and Hilton & Hyland have split the listing and the asking price is indeed $200 mil.
Playboy CEO Scott Flanders said, "This is the right time to seek a buyer for this incredible property who understands the role the Mansion has played... and enables us to continue to reinvest in the transformation of our business." Which seems to translate ... if you're a fan of boobs and bunnies -- this is the house for you.  
As we reported, there's a string attached to the sale ... Hefner gets a lifetime estate, meaning he gets the run of the mansion for the rest of his life.
0108_playboy_mansion_footer2


Read more: http://www.tmz.com/2016/01/11/playboy-mansion-listed-200-million/#ixzz3x2LcvLka
Continue reading

Breaking News
THE CRAZY FIREFIGHTPrimero Noticias
The Mexican marines who captured El Chapo were wearing GoPro cameras, and the footage of their raid was just released.
The video is remarkable -- the troops are HEAVILY armed ... obviously expecting a major gun battle to take down the drug lord. It kinda looks like an intense game of "Call of Duty" -- except the bullets are real here.
One solider suffered non-life threatening injuries during the mission ... dubbed operation "Black Swan" by the Mexican government. 


Read more: http://www.tmz.com/2016/01/11/el-chapo-mexican-marines-raid-video/#ixzz3x2LBqvw4
Continue reading

IT'S THE RIGHT FITTMZ.com
There's one thing Nike can't 'Just Do' and that's get Kanye West to rock the swoosh again.
It's been 2 years since Kanye and Nike broke up -- 'memba Air Yeezys? So, at LAX Monday we asked him if a Powerball jackpot worth of cash could get him to jump ship from his current deal with Adidas, reportedly worth at least $10 million.
Check out his answer ... it sure sounds like there's still beef between Ye and Nike.
He's also got big news about his clothing line -- something that'll make his average Joe (and Jane) fans very happy.


Read more: http://www.tmz.com/2016/01/11/kanye-west-nike-adidas/#ixzz3x2KHSnWd
Continue reading

neyo3




Ne-Yo na mchumba wake wa muda mrefu Crystal Renay ambaye ni mjamzito hawajatangaza rasmi tarehe ya kufunga ndoa, lakini kwa mujibu wa mtu ambaye ni miongoni mwa waalikwa aliyevujisha mtandaoni kadi ya mwaliko inaonesha ndoa itafungwa February 20, 2016.
neyo ndoa-1
neyo ndoa-2


Mwezi September 2015, Ne-Yo alikanusha vuvumi ulioenea kuwa tayari walikuwa wamefunga ndoa, lakini akakiri kuwa mchumba wake ni mjamzito na kuahidi kufunga ndoa mwaka huu 2016.
Continue reading

Thursday, December 24, 2015




Continue reading



Najua wakristo wengi duniani wanahesabu saa chache kuifikia December 25, siku ambayo inasherehekewa sikukuu ya Christmas kila mwaka… kama na wewe umejiandaa vizuri na sherehe hiyo basi nikutakie heri mtu wangu, lakini stori ina kichwa cha habari tofauti kutoka Somalia.
Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za christmas kwa siku ya kesho, moja ya sababu iliyotajwa ni kwamba sherehe hizo zitasababisha hofu kwa watu wa dini nyingine ambao hawahusiani nazo.
Wageni toka nchi nyingine wameruhusiwa kufanya sherehe zao majumbani mwao, lakini maeneo kama mahotelini na maeneo mengine yamezuiwa kufanyika sherehe zozote kwa siku ya kesho huku Serikali ikiimarisha ulinzi kuhakikisha agizo hilo linazingatiwa
Continue reading





Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa iliyopita.
MAGAZETI JOH MAKINI 33
.Rapper Joh Makini
.
.Mchekeshaji Joti
.
.Kulia ni Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa kwenye udogo wake
.
.Quick Rocka
.
.Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki kwenye udogo wake
.
.Shilole enzi hizo akiwa Tabora
Vanessa Mdeee
.Vanessa Mdee kwenye udogo wake
Continue reading

Friday, December 11, 2015

Dully

Dully Sykes amesema amefunga mlango wa kuwasaidia wasanii wachanga kwa madai aliowasaidia bado hawajamrudishia fadhila.

Mwimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Tuachie’ hivi karibuni akiwa na Yamoto Band, amekiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV kuwa haba tena muda wa kusaidiana bali anachohitaji ni pesa.
“Up coming artists mimi siwahitaji tena kwenye studio yangu,” alisema. “Mimi nahitaji aje alipe na bei yangu ni ile ile. Nimesaidia wengi mpaka leo wanapata pesa zao na hawanikumbuki hata kusema yule bro sisi tumetoka kwake pale tumpe hata 20,000 akanunulie nyanya. Kwahiyo mimi sihitaji kusaidia mtu. Na wasanii wangu ambao ni hao hao nafikiria nitafanya nao kazi,” alisisitiza.
Amemtaja Diamond kuwa miongoni mwa wasanii wachache waliorudisha fadhila.
Continue reading





Mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Kayumba Juma anasafiri usiku wa Ijumaa hii kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya.
Muimbaji huyo ambaye alijinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 baada ya kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na ushindani mkubwa, atasafiri akiwa pamoja na timu ya BSS ikiongozwa na mkurugenzi wake Madam Rita.
Akizungumza na Bongo5 leo mmoja kati ya viongozi wa msanii huyo, Said Fella, amesema kila kitu kinaenda sawa katika maandalizi ya ujio wa msanii huyo.
“Kayumba yupo sawa na usiku wa leo akiwa na timu ya BSS wanaelekea South Africa kufanya video na director aliyefanya video ya Shaa. Kwahiyo mashabiki wakae mkao wa kula. Pia tarehe 16 mwezi huu atakuwa pale Dar Live kwa ajili ya show akiwa na Yamoto Band.”
Continue reading



Staa wa muziki wa HipHop kutoka Marekani, Nicki Minaj maarufu pia kama The Rap Queen anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani.
minaj6
Baada ya kuchaguliwa kwenye vipengele vitatu vya The 58th Grammy Nominations, staa huyo kutoka lebo ya Cash Money Records alichukuwa time na kufanya interview na jarida kubwa la burudani Marekani, Billboard Magazine na kugusia vitu vingi ikiwemo maisha yake na Meek Mill, Siasa, Muziki, ushauri wa kimaisha  na vitu vingine kibao.
minaj4
Nicki Minaj: Billboards The No.1s Photo Shoot Cover.
Hivi ni vichache nilivyofanikiwa kuvinasa kutoka kwenye interview hiyo na Billboard Magazine:
Support anayotoa kwa Hillary Clinton: “Ninamsupport Hillary kama mwanamke. Kama nimeshawishika anafaa kuwa Rais wa awamu ijayo? Bado napenda niwe na mawazo huru kuhusu kila mgombea. Bila ubishi naelewa struggle anayoipata kama mwanamke. Pia bila ubishi naelewa nafasi anayowekwa kama mwanamke akiingia sehemu ambayo imejaa wanaume zaidi- kuna wakati naamini hata yeye anaogopa, lakini pia naamini anatumia uoga huo kama silaha yake ya ushujaa. Kwa sababu kama mwanamke nimekuwa nikifanya hivyo kila mara. Kwahiyo kwa hilo ninamkubali sana“.
minaj1
Nicki Minaj: Billboard The No.1s Issue Photo Shoot.
Kuhusu mgombea mwenza wa Hillary Clinton, Donald Trump: “Kuna hoja ameziongelea ambazo naamini kama asingetumia approach ya kitoto kuzifikisha mbele ya umma zilikuwa ni nzuri kwa namna yake. Lakini kwa upande wa burudani- huyu jamaa anachekesha sana. Natamani kama wangetengeneza movie ya yeye akiwa kwenye safari ya Urais. Hiyo ingekuwa reality show kubwa balaa.“
minaj3
Kuhamia Los Angeles na Meek Mill: “Napapenda [Los Angeles]. Nilipokuwa nahamia nilizungumza na Beyonce, kwasababu na yeye amehamia huku hivi karibuni pia. Beyonce alisema kile nilichokisema mimi mara ya kwanza nahamia huku, ambacho ni kila mmoja amekuwa mwenye furaha zaidi. Alikuwa ananiambia vitu vidogo ambavyo pengine ningeviona kama mzigo kumbe sio mzigo hata [kwa huku]. Pia aliniambia haichoshi kuamka asubuhi sana na kumpeleka Blue [mwanae] shule, kwasababu mazingira ni mazuri [na ndicho nachokiona pia].“
minaj8
Pete aliyopewa Nicki Minaj na mpenzi wake Meek Mill hivi karibuni.
Je, vipi kuhusu pete aliyovalishwa na Meek Mill: “Mimi na yeye hatupo-engaged. Lakini alisema angependa kunipa pete tatu kabla hajanioa. Birthday yangu inakuja, kwahiyo achangamke kunipa pete nyingine, kwasababu alishanipa moja [ya kwanza ilikuwa mwaka jana] kwenye birthday yangu iliyopita.“
minaj2
Jay Z, Beyonce, Nicki Minaj & Meek Mill.
Ushauri kutoka kwa Beyonce na Jay-Z: “Tuliongea nao, Jay Z na Beyonce [kuhusu ndoa]. Baada ya show yetu [Brooklyn] ya Barclays Center [ mwezi October], tulipata dinner pamoja. Walitupa ushauri mzuri sana. Nawapenda sana. Yalikuwa maongezi mazuri sana na watu tunaowapenda na kutazama kile wanachokifanya kama couple. Ile couple [Jay Z na Beyonce]  ipo mahiri sana!“
minaj5
Kama atarudi kufanya mixtape zozote: “Kabisa. Lazima niachie mixtape soon. Nataka niguse beats tofauti ambazo sikuzigusa hapo awali. Ningeweza kutoa single zenye beats nzito mwaka jana, lakini kwangu jambo la msingi ni kuonyesha mfano kwa marappers wengine wa kike. Kwenye game nipo juu sasa hivi na ni muhimu kuweka mfano… ni muhimu kwa wewe kuwa mkubwa kuliko muziki wako. Nina mashabiki amabao wameshajitoa kuwa na mimi maisha yangu yote kwasababu wanajua nilipoanzia. Mashabiki wanajua msoto wangu, jinsi nilivyokuwa na njaa, kwamba nilikuwa siridhiki na mafanikio madogo tu, sikukata tamaa, nilikuwa kwenye ngoma ya kila mtu na nilikuwa kikazi zaidi… mashabiki wanajua kwa hiyo ni lazima nifanye kazi kuonyesha mfano.“
Continue reading

 
Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa.
CINEMAAAAAAAA

Continue reading

Thursday, December 10, 2015

Baada ya kupita kwenye headlines za MTV BASE, December 10 2015 ndio msanii wa bongofleva Jux ameiachia hii video mpya ya ‘one more night’ bonyeza play kuitazama hapa chini kisha achia comment yako Jux akipita baadae ajue watu wake wanasemaje.

Continue reading

Tuesday, December 8, 2015


Rapper mwenye asili ya Tanzania, Allan Kingdom naye ametajwa kwenye tuzo hizo thanks kwa shavu alilopewa na Kanye West kwenye wimbo wake All Day. Wimbo huo umetajwa kuwania vipengele viwili, Best Rap Performance na Best Rap Song.
Allan anaishi Minnesota, Marekani.
https://www.youtube.com/watch?v=X8GsQhCAkcg

MFAHAMU ZAIDI ALLAN KINGDOM

Mwaka jana mtandao wa Complex ulimjumuisha kwenye orodha ya rappers 25 wapya wa kuwaangalia mwaka 2014. Allan Kingdom ni rapper na producer wa muziki mwenye makazi yake St. Paul, Minnesota nchini Marekani.
Alizaliwa kwa jina la Allan Kyariga miaka 21 iliyopita nchini Canada na mama kutoka Tanzania pamoja na baba kutoka Afrika Kusini.
Amezunguka sana kabla ya kumaliza shule pale Woodbury High School, Minnesota.
“Naweza kuzoea kiurahisi kabisa kwenye mazingara tofauti tofauti, lakini sijawahi kuhisi kiukweli kuwa mimi ni sehemu ya jamii moja,” rapper huyo aliliambia gazeti kubwa zaidi la kila siku katika jimbo la Minnesota, Star Tribune.
1607114_628873010511477_697161099_n
Ni rapper anayekubalika mno katika jiji la St. Paul. Hadi sasa tayari ana album moja na EP nne.
Anasema mtindo wake wa muziki unachukua sana vionjo pia kutoka Afriki Mashariki kupitia muziki ambao mama yake alikuwa akisikiliza alipokuwa mdogo na kuchanganya na ladha za waimbaji wanaomuinspire kama Frank Ocean, Odd Future, Earl Sweatshirt na Kid Cudi.
Uhusiano wake na Kid Cud ni mkubwa zaidi kwakuwa mmoja wa watayarishaji wa Cud, Plain Pat, ni meneja wa Allan.
Pat aliupenda muziki wa Allan kupitia Twitter.
“Aliniambia nimetishwa sana na production yako,” anakumbushia Allan, ambaye kipindi hicho alikuwa na umri wa miaka 17.
Allan alipitia pia kusoma masuala ya sanaa kupitia Creative Arts High School ambako alikaa kwa muda kabla ya kurejea tena Woodbury. Pia amesoma masuala ya studio engineering kupitia Institute of Production & Recording huko Minneapolis.

Akiwa mtoto pekee wa wazazi wake, ametumia muda mchache mno kukaa na baba yake aliyerudi Afrika Kusini wakati Allan akiwa mtoto. Kwahiyo amelelewa zaidi na mama yake Mtanzania.
Wazazi wake walikutana wakati wakisoma kwenye chuo kikuu cha Manitoba huko Winnipeg nchini Canada na aliishi huko hadi darasa la tatu.
Mama yake Laurencia, amewahi kumleta Tanzania mara kadhaa na kumfundisha utamaduni wa nyumbani.

10906151_812154782183298_7756782924811521228_n
Allan akiwa na mama yake (kulia) na binamu zake kwenye birthday yake Jan 3 mwaka huu

Akiwataja wasanii wa Congo kama vile Koffi Olomide na Papa Wemba, Allan alisema, “Mwanzoni nilipoanza kutoa nyimbo watu walisema walikuwa wakisikia hiyo ‘influence’ na kwakweli kilikuwa ni kitu kinachotokea bila kujua (subconscious). Lakini nilifikiria, ‘OK, basi naweza kuimiliki pia. Na ndipo nikaanza kusikiliza nyimbo hizo mimi mwenyewe.”
Canada
Allan (katikati) enzi akiwa mtoto

Mama yake alikuwa na ushawishi mwingine wa pekee kwenye nyimbo za kwanza kwanza za Allan ikiwemo album yake aliyoitengeneza kupitia kanisani akiwa na umri wa miaka 11.
“Alikuwa akipitia mashairi na kusema ‘Oh, huwezi kusema hivyo.’ Alingebadilisha maneno ambayo hakuyapenda na kuweka ‘Upendo’ na ‘Yesu’ na ‘God.’
Ushawishi kutoka kwa utengenezaji wa nyimbo wa Kanye unasikika kwenye EP yake ya miaka miwili iliyopita, Trucker Music iliyodhihirisha kipaji kilichopevuka katika umri wake mdogo.
10376829_792007257531384_3723947487477652283_n
Akiongea na Papermag.com mwaka jana, Allan alisema Minnesota ni sehemu yenye wahamiaji wengi wa kigeni kutoka Afrika Mashariki na hivyo kumfanya wakati mwingine ajisikie kuwa yupo nyumbani.
“Ninaweza kusimama sehemu na kupata kitu kinachofanana na kile mama yangu angetengeneza,” alisema. Kazi yake mpya inaitwa Future Memoirs yenye jumla ya nyimbo 12 zikiwemo ‘Wavey’ na ‘Evergreens’.
10409320_708359709229473_5554871368258973973_n
Continue reading


Baadhi ya wasanii wa Bongo ambao wamewahi kutuma video zao kwenye vituo vya MTV na Trace huwa wanaamini kuwa vituo hivyo vinaupendeleo, kutokana na kucheza video za wasanii wachache tu wa Tanzania licha ya wengi kujaribu kutuma kazi zao.

Director wa video nchini Hanscana alienda Afrika Kusini hivi karibuni, na miongoni mwa mambo aliyoyafanya huko ni pamoja na kujifunza jinsi ya kufanya kazi kwa kiwango cha kimataifa, na kutafuta ‘password’ za mageti ya kupeleka kazi zake kwenye channel za kimataifa.
Hanscana ambaye alitembelea ofisi za Trace na MTV Base za Afrika Kusini na kuonana na wahusika wa ‘jikoni’, ameshare na wengine kile alichojifunza huko, hasa kuhusu vitu vinavyosababisha video nyingi za wasanii wa Tanzania zishindwe kuchezwa.
“Kule cha kwanza ambacho kinakwamisha ni fanbase ya msanii ndio inakwamisha sana sana sana” amesema Hanscana kupitia 255 ya XXL.
“Ukiongelea kitu kama MTV Base au Trace ukiongelea kwanza Trace Nigeria hiyo ni sawa sawa umeongelea Clouds Tanzania, lazima msanii wa Tanzania apewe 60 nje ya Tanzania apewe 40, sasa katika ile 40 inakuwa ina ushindani mkubwa sana unajua asilimia 40 jnsi gani ilivyokuwa ndogo halafu nchi zilizokuwa nyingi. Kwa hiyo hadi ufike pale fanbase yako iwe vizuri yaani msanii mwenyewe fanbase yako iwe vizuri.” alifafanua.
Hanscana amewashauri wasanii wa Bongo kujitangaza na kuweka mizizi nyumbani kwanza, kuongeza fanbase kwenye mitandao ya kijamii na kuhakikisha anakuwa na views za kutosha Youtube kabla ya kufikiria kuanza kutafuta nafasi ya kuchezwa kwenye channel za kimataifa.

“Ndio maana unaweza ukaona kuna baadhi ya ngoma za wabongo zilichezwa MTV labda siku mbili siku tatu baada ya hapo hujawahi kuziona tena, wale wanaangalia je hiyo ngoma huko Tanzania inapigwa?” alisema Hans.
Continue reading

IMG_20150107_010322Kundi laYamoto Band.
Hapatoshi! Desemba 19, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar, Yamoto Band pamoja na msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Zanzibar, Baby J wanatarajia kumtambulisha kwa mara ya kwanza mshindi wa Bongo Star Search (BSS 2015), Kayumba Juma.
11850350_381858202023066_260470231_n1Akizungumza na kona ya Muziki wa Dansi, mratibu wa shoo hiyo iliyopewa ‘title’ ya Usiku wa Yamoto Band, Mohamed Seif ‘Mudy K’ alisema kuwa mbali na hayo lakini pia kutakuwa na burudani kibao ambazo zitakufanya uinjoi mwanzo mwisho.
“Mashabiki watarajie kupata sapraizi kibao kutoka kwa Yamoto ikiwa ni pamoja na kutambulisha wimbo wao mpya wa Imo baada ya kubamba na Cheza kwa Madoido sambamba na utambulishio wa Kayumba, yote hayo yatapatikana kwa kiingilio cha shilingi 10,000,” alisema Mudy K.
Continue reading

Monday, December 7, 2015


Mwanadada anayefanya vizuri na kibao, ‘Never Ever’, Vanessa Mdee amewataka mashabiki kuacha tabia ya kuwashindanisha wasanii au kuwagandamiza ili mmoja wao aonekane yupo juu.


Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, Vanessa alisema kila msanii ana nafasi yake katika muziki ndio maana ni vigumu kuwalinganisha.
“Kuna baadhi ya mashabiki siyo wote, wenye tabia ya kugandamiza wasanii. Tabia ya kupambanisha wasanii kwa sababu wana kitu fulani au ambao wanafanya kitu similar hii siyo hali nzuri,” alisema Vanessa.
Aliongeza, “Game ni ngumu kama mnavyoona, sasa tukianza kujadiliana sijui fulani ni fulani tunaweka ugumu kwenye lengo letu la kutengeneza muziki mzuri na kuleta burudani. Kwahiyo mimi nampenda Shaa. Shaa ni mwanamke ambaye amekuwa kwenye game kwa miaka 10, amefanya kazi kubwa sana,” alisema Vanessa.
Kauli hiyo ya Vanessa imekuja kipindi kifupi baada ya Shaa kuulizwa anajisiaje pale mashabiki wanapomshindanisha na Vanessa.
“Niwambie ukweli sipendi sana hii tabia ya watanzania kunishindanisha na Vanessa Mdee au kitendo cha kuwashindanisha wasanii wa nyumbani, Shaa aliiambia Planet Bongo ya EATV.

“Huwezi kuwashindanisha watu ambao wapo kwenye boti moja, Mimi Shaa pamoja na Vanessa Mdee wote tunapeperusha bendera moja ya Tanzania hivyo unapotupambanisha ili iwe nini, ni bora hata ungenipambanisha na msanii kama Yemi Alade sababu yule ni msanii kutoka nchi nyingine” aliongeza Shaa.
Continue reading

Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.

Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?
Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili kuashiria kila member wa familia yao na kuandika ‘SAINT WEST’

saint
Continue reading

Kwenye list ya mastaa ambao wanafunga mwaka 2015 wakiwa ndani ya list ya wale ambao midundo yao imefanikiwa kupenya na kukubalika kwenye TV za kimataifa, jina la Jux limo !!
Jux
Ngoma ya ‘Looking for You‘ Feat. Joh Makini ni moja ya zinazopigwa kwenye TV hizo ikiwemo kubwa ya Trace Urban ya Ufaransa… Jux kaitambulisha nyingine kutoka kwake, unaweza kuisikiliza ‘One More Night‘ kwa kubonyeza link ya Mkito hapahapa >>> Jux- One More Night
Continue reading


Beyonce amekuwa msanii ambaye wasichana wengi wanatamani kuja kuwa kama yeye siku moja, ushawishi wake umegusa watu wengi na sehemu mbalimbali duniani. Naamini kuna matukio mengi sana ya Beyonce ambayo tayari yameshagusa masikio yako na pengine unatamani kujua kitu kimoja tofauti kuhusu staa huyo.
Kama wewe ni miongoni ya watu ambao ni mashabiki wakubwa wa Beyonce Knowles basi hii inakuhusu moja kwa moja… nimefanya jitihada za kukusanya vitu mbalimbali ambavyo inawezekana wengi wetu hatuvijui kuhusu staa huyu wa muziki.
hive5
Hivi ni baadhi ya vitu sita vya kufahamu kuhusu Beyonce Knowles:
1 Beyonce alianza kuimba sauti ya kwanza akiwa na miaka nane.
hive8
Beyonce akiwa mtoto.
2 Jina la ‘Beyonce’ ni jina la familia linalopewa kwa kila mtoto wa kwanza wa kike, na staa huyo alipozaliwa alirithi jina hilo kutoka kwa mama yake.
hive5
3 Mwaka 2011 Beyonce alitajwa na Guiness World Records kama mtu aliyeandikwa zaidi duniani kwa sekunde moja kwenye mtandao wa Twitter ambapo staa huyo alitajwa kwenye tweets 8868 baada ya kuitangazia dunia kuwa ana ujauzito wa mtoto wake wa kwanza, Blue Ivy.
hive4
4 Wimbo wa  ‘Bootylicious’ ulioimbwa na kundi la Destiny’s Child (kundi la zamani la Beyonce)  ulipata umaarufu mkubwa kitendo kilichopelekea neno hilo kutafsiriwa mwaka 2004 na kuwekwa kwenye kamusi ya Oxfrod Dictionary, na sasa neno ‘Bootylicious’ kwenye tafsiri ya kamusi humaanisha: >>> “(of a woman) sexually attractive especially women with curvaceous buttocks”. <<<
hive1
5 Album yake ya kwanza kama solo artist ya mwaka 2003, ‘Dangerously In Love’ ilikataliwa na lebo iliyokuwa inamsimamia (Colombia Records) kwa madai ya kuwa album hiyo haikuwa na nyimbo zozote ambazo ni hit songs… bila kujali Beyonce akaitoa album hiyo na badaaye ikaja kumuweka Beyonce kwenye chati na hizi 5 kali zilizokuwa zinapatikana ndani ya album hiyo; ‘Dangerously In Love’, ‘Naughty Girl’, ‘Me, Myself and I’, ‘Baby Boy’ na ‘Crazy In Love’.
hive2
6 Beyonce ana matatizo na harufu kali, tatizo ambalo linasababisha staa huyo kushindwa kutumia manukato yoyote (perfumes), lakini hii haimanishi kuwa yeye sio mtumiaji wa vitu hivyo kwani baada ya kampuni kadhaa kugundua tatizo hili wakaamua kubadilisha formula za chemikali zao kuhakikisha perfume zao hazimdhuru staa huyo.

<> at Penthouse (PH-D) at Dream Downtown on September 21, 2011 in New York City.
Continue reading

ADS

ADS

ADVATISE HERE

ADVATISE HERE