About us

Monday, December 7, 2015

Entertainment Mabibi na mabwana Koffi Olomide ndio ametua hivi Dar es salaam leo jioni.




December 8 2015 usiku Escape One Mikocheni Dar es salaam utakua usiku wa zile selfi 16 kusherehekea miaka 16 ya Clouds ambapo pia Koffi Olomide kutoka Congo DRC atakuepo kuiachia burudani kwenye stage akiwa na dancers wake wote kama anavyoonekana nao kwenye hizi picha baada ya kutua Dar es salaam.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_2512
.Koffi Olomide akifanya exclusive interview na ripota wa millardayo.com & Ayo TV
.
.
.
.
.
.
.
.Wanenguaji wa kike wa Koffi Olomide
.
.Gari lililotumika kuwabeba dancers wa kike wa msanii mkongwe, Koffi Olomide
.
.
.
.Gari lililotumika kumbeba msanii mkongwe wa muziki wa Dancer, Koffi Olomide
.
.
.
.Kikosi cha Dancer wa kiume cha msanii Koffi Olomide kikipanda gari kuelekea hotelini
.
.
.
.

DSC_2547
.Gari lililotumika kubeba Dancers wa Koffi Olomide kuelekea hotelini baada ya kuwasili Dar

ADS

ADS

ADVATISE HERE

ADVATISE HERE