About us

Thursday, December 10, 2015

Ule usafi wa jana alioagiza Rais Magufuli, BBC Uingereza nako wameujadili .. (+Video)


Ni headlines za Serikali ya Rais Magufuli kwenye kazi na kasi yake kila kona… unajua sio kila kiongozi anayeshika nafasi ya juu kwenye nchi yoyote anaweza kujadiliwa kwenye vyombo vikubwa, lakini Rais Magufuli kaipata hiyo nafasi kutokana na maamuzi yake toka siku ya kwanza kaapishwa na kuingia Ikulu.
Prof. Patrick Otieno Lumumba ni mmoja ya wachambuzi wakubwa sana kwenye masuala ya siasa Afrika, amepewa airtime ya dakika tatu kuujadili ule usafi uliopigwa jana Tanzania huku Rais Magufuli, Mama Samia Suluhu na Waziri Mkuu Majaliwawakiongoza jahazi… huyu hapa kwenye dakika 3  za BBC Swahili.



ADS

ADS

ADVATISE HERE

ADVATISE HERE