About us

Thursday, December 10, 2015

PCHA: Tazama jinsi Rais alikopokuwa akielekea kutangaza Baraza la Mawazir Leo mapema

mg5
Kuelekea ukumbi wa mikutano Ikulu.
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza baraza la mawaziri December 10 2015 ambapo hata hivyo hajamaliza kutaja mawaziri wengine akisema anaangalia ni nani wa kumuweka kwenye hizo wizara zilizobaki
mg8
mg3
mg2
mg4
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, Rais Magufuli na Waziri mkuu Majaliwa
mg7
Picha ya pamoja na Waandishi wa habari
mg6
Rais Magufuli, Katibu mkuu kiongozi Sefue, Waziri mkuu Majaliwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu
Picha zote ni kutoka Ikulu.

ADS

ADS

ADVATISE HERE

ADVATISE HERE