December 8 2015 usiku Escape
One Mikocheni Dar es salaam utakua usiku wa zile selfi 16 kusherehekea
miaka 16 ya Clouds ambapo pia Koffi Olomide kutoka Congo DRC atakuepo
kuiachia burudani kwenye stage akiwa na dancers wake wote kama
anavyoonekana nao kwenye hizi picha baada ya kutua Dar es salaam.
Monday, December 7, 2015
Entertainment Mabibi na mabwana Koffi Olomide ndio ametua hivi Dar es salaam leo jioni.
Entertainment Mabibi na mabwana Koffi Olomide ndio ametua hivi Dar es salaam leo jioni.
Reviewed by elaib
on
1:37 PM
Rating: 5

ADS

ADVATISE HERE